Hifadhi ya jamii share
ifadhi ya jamii ni kitendo cha ulinzi/kinga kinachotolewa kwa jamii na wanajumuiya wake kupitia misaada mbalimbali kwa umma dhidi ya dhiki ya kiuchumi na kijamii ambayo inaweza kusababisha uzee, kifo au kupunfua kwa mapato kutokana na dharura mbalimbali.
Kuna mifuko mitano ya hifadhi ya jamii Tanzania bara ambayo ni; GEPF, LAPF, NSSF, PPF na PSPF. Mifuko yote hii inasimamiwa na mamlaka ya Usimamizi na udhibiti wa sekta ya Hifadhi ya jamii (
Mafao yanayotolewa na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ni pamoja na; fao la matibau, kuumia kazini, elimu, uzazi, kifo, uzee na wategemezi.
Kifungu cha 30 cha sheria ya SSRA kinaelezea kuwa kila mwanachama mpya ana haki ya kuchagua mfuko wa Hifadhi ya jamii anaopenda kujiunga. .