Huduma za Uhamiaji share
Kazi ya idara ya kutoa huduma za uhamiaji ni:
- TKuhakikisha usalama wa taifa unaangliwa na kudumishwa.
- Kuwezesha kuingia,kutoka na kukaa kwa wahamiaji wote na / au waondokaji kwa lengo la kukuza uwekezaji na utalii kwa ajili ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi wa taifa.
- Kuwezesha wananchi kutoka na kuingia kwa kusafiri nje ya nchi kwa masuala ya umma na binafsi.
- Kufanya doria na kukamata wakiukaji kwa makosa ya kufukuzwa au.
- Kutoa uraia na nyaraka nyingine za uhamiaji kwa wahamiaji kama vile Wawekezaji, Watalii, Wataalam, Wamisionari, Wanafunzi, Watafiti na wengine.
Wawekezaji wa kigeni wenye miradi yenye thamani ya dola 300,000 na kuendelea, wanaweza kupata nyaraka za uhamiaji kama vile vibali vya ukazi kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania.