Ardhi na Majengo share
Kwa mujibu wa Sheria ya
Sheria inatambua aina tatu za ardhi, ambazo ni. Ardhi ya Jumla, Ardhi ya Kijiji na Ardhi ya Hifadhi:
- Ardhi ya Jumla ni ardhi iliyopimwa kwa kawaida iliyopo katika maeneo ya miji au yanayozunguka miji.
- Ardhi ya kijiji eneo ya vijijini nchini Tanzania. Baadhi ya ardhi ya vijiji imepimwa lakini ardhi kubwa bado haijapimwa. Ardhi ya kijiji haiwezi kutumiwa kwa uwekezaji mpaka ihawilishwe kuwa ardhi ya jumla.
- Ardhi ya Hifadhi inajumuisha hifadhi kwa ajili ya misitu, hifadhi za wanyama pori na viwanja vya burudani.